IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Hosseini Khamenei, amesema kuwa watu wa Iran ni “washindi wa hakika” katika uwanja wa mapambano, akiongeza kwamba Iran haijawahi kutaka vita, lakini pia haitapuuza haki zake halali.
Habari ID: 3482133 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/10
Ujumbe wa Nowruz (Mwaka Mpya wa Hijria Shamsia)
IQNA-KKiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwaambia wananchi wa Iran kwamba: Kwa kumpa adui pigo, mmemfahamisha kwamba hapambani tu na makombora, ndege zisizo na rubani, torpedo na zana za kijeshi pekee kwani mstari wa mbele wa Iran ni mpana sana kuliko taswira yake finyu na iliyodhalilika.
Habari ID: 3482077 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/21
IQNA – Ofisi ya mwanazuoni mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali al‑Sistani, imetuma ujumbe wa kumtakia mafanikio Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei.
Habari ID: 3482048 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/12
IQNA-Mufti Mkuu wa Russia ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Shirikisho la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3482044 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/11
IQNA – Chama cha Wahudumu wa Qur’ani Tukufu nchini Iran kimesifu uamuzi wa busara na hekima wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wa kumchagua Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kuwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
Habari ID: 3482035 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/09
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amehudhuria kikao cha kiroho cha Qur'ani katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, akijumuika na maqarii na wasomaji mashuhuri wa Iran na kimataifa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3481959 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/20
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewasifu na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi kote nchini katika maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa maandamano hayo yamewakatisha tamaa maadui.
Habari ID: 3481929 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/13
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa taifa la Iran kuonyesha irada, azma thabiti na kusimama kidete, kwa kushiriki kwa wingi katika matembezi na mijumuiko ya kuadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi ya Kiislamu, akisema kuwa umoja huo utamkatisha tamaa adui wa nchi hii.
Habari ID: 3481912 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/10
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonya kwamba, vita vyovyote vitakavyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran vitageuka na kuwa vita vya kikanda.
Habari ID: 3481877 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/01
IQNA-Sherehe za kuadhimisha mwaka wa arobaini na saba tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zimeanza kwa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuzuru haram haram tukufu ya Imam Khomeini (MA), muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3481872 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/31
IQNA – Baraza la Mashauriano la Mashirika ya Kiislamu Malaysia (MAPIM) limetoa tamko likieleza kuunga mkono msimamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kuhusu kumweka rais wa Marekani kuwa na dhima juu ya vifo na uharibifu uliotokana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iran.
Habari ID: 3481821 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/19
IQNA – Jukwaa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Duniani, (WFPIST) limepongeza msimamo wa kuunga mkono uliotolewa na wanazuoni na wasomi wa Kishia na Kisunni kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia machafuko ya hivi karibuni.
Habari ID: 3481814 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
Habari ID: 3481813 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18
IQNA-Wanazuoni na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu, katika taarifa yao, wameonyesha kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, kufuatia machafuko ya hivi karibuni nchini, huku wakitoa tamko linalomtaja rais Trump wa Marekani kama mtu “muhrib”
Habari ID: 3481811 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/17
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu na kusimama pamoja na wananchi “Inshaallah, tutampigisha magoti adui.”
Habari ID: 3481757 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/03
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
Habari ID: 3481612 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/04
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kiroho na kimaadili wa sala, akiitaja kuwa miongoni mwa ibada zenye maana kubwa na zinazotoa uhai katika Uislamu.
Habari ID: 3481345 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/09
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali mazungumzo chini ya mashinikizo.
Habari ID: 3481281 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/24
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani inahujumu na kukabiliana na Iran kwa sababu inataka taifa hili liwe tiifu kwake, lakini wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu watapambana vikali na “tusi hilo kubwa”.
Habari ID: 3481130 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/24
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea, huku akisisitiza kwamba taifa hilo litaendelea kusonga mbele kwa kasi zaidi katika nyanja za kijeshi na kielimu kwa azma iliyo imara.
Habari ID: 3481003 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/26